Nimeota wakishangilia Kwa kiarabu, huku wengine waking'oa viti

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde

Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu Wanashangilia Kwa kiarabu ....huku wengine wakizomea Kwa kiswahili na kung'oa viti na kurusha uwanjani....nmeshtuka sana Kwa kweli

Waarabu walikuwa wanasemaje hivi نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز.
Japo nmeshindwa kutafsiri hii ndoto

Mshana Jr ....mkuu nisaidie kutafsiri hii ndoto [emoji1666][emoji1666]
 
Ingekuwa ajabu kama usingeota, maana umewekeza nguvu kwenye ushabiki wa soka kweli kweli, kila baada ya saa moja unaanzisha Uzi wa Simba. Kuota sio ajabu, usingeota ingekuwa ajabu!
 
Katika hii ndoto yako obvious utakuwa ulikuwa umekaa na hao waarabu. Mtu unaota upo na waarabu mkishangilia jambo huku huwaelewi.
Hapana mkuu mi npo hom.....bado sijaenda Kwa mkapa
 
Ingekuwa ajabu kama usingeota, maana umewekeza nguvu kwenye ushabiki wa soka kweli kweli, kila baada ya saa moja unaanzisha Uzi wa Simba. Kuota sio ajabu, usingeota ingekuwa ajabu!
Hapana mkuu....nna kazi nyingi siwezi shinda humu jf
 
Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde

Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu Wanashangilia Kwa kiarabu ....huku wengine wakizomea Kwa kiswahili na kung'oa viti na kurusha uwanjani....nmeshtuka sana Kwa kweli

Waarabu walikuwa wanasemaje hivi نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز.
Japo nmeshindwa kutafsiri hii ndoto
Mshana Jr ....mkuu nisaidie kutafsiri hii ndoto [emoji1666][emoji1666]
Nahnu maana yake sisi hio nafwaz aje mwengn kutafsiri 😅
 
Ni hatari kuota mambo ya waarabu mbona hujasema na ile ndoto baada ya mechi walivyoenda kula burudani na ww
 
Back
Top Bottom