Ndugu wanaJF.
Siku ya leo inakaribia kuisha nikiwa sina amani kabisa. Usiku wa kuamkia leo nimeota watu wasiojulikana wamefika nyumbani kwangu. lakini hawakushuka kwenye gari, wakageuza wakatokomea kusikojulikana.
Naomba msaada wa tafsiri ya hii ndoto.
Sent using Jamii Forums mobile app