Nimeota, watu wasiojulikana wamefika kwangu

Msaada kwangu utakuwa magumu maana ulitakiwa uwafanyie kisichojulika kabla hawajatokomea kusikojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinga ya ndoto yako:

Kabla ya kulala vuta msokoto mmoja.

Wasiojulikana wakija tena ndotoni utajikuta umeshikilia machine guns mbilì kama Rambo. Utawamiminia shaba za kutosha.

Hawatarudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinga ya ndoto yako:

Kabla ya kulala vuta msokoto mmoja.

Wasiojulikana wakija tena ndotoni utajikuta umeshikilia machine guns mbilì kama Rambo. Utawamiminia shaba za kutosha.

Hawatarudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimeipenda. halafu nikiwashinda kwenye ndoto hata wakija mchana kweupeeee, nitawashinda pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshakubaliana kuwachingia baharini watu wasiojulikana sisi wenyewe bila kuwategemea Police. Ni rahisi zaidi kuwapata sisi wananchi kuliko Police kwasababu tuko kila kona ya nchi na kila uchochoro tupo hawana pa kuchepukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…