Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hatuna ugomvi😅Mkuu Muombe msamaha yaishe mtakalia ugomvi hadi lini sasa??
Sipo kwakeOndoka nyumban kwake
Bac hiyo inaonyesha unataman mali zakeSipo kwake
Hapana kwakweliBac hiyo inaonyesha unataman mali zake
Muda sio mrefu utaanza kukubalHapana kwakweli
Ndio mkuuNi Baba yako kweli una uhakika
Mtove muwile ... salatogaAkuwulaga
Wititwa
Anayempiga baba na mama yake taa yake itazimika .Inakuwaje zaidi ya mara tatu naota napigana na mshua😂, yaani tunapigana sana na mawe wakati mwingine namhurumia lakini na yaye ananitupia mawe inabidi na mimi nimrushie.
Yaani tunapigana sana 😭, ni ndoto ya kujirudia pamoja na kuwa tuna mahusiano mazuri.
Tafsiri tafadhali.
🙏Kama Una baba yako mtendee mema pia watoto wako hizo sehemu mbili zimebeba Sana baraka .
Kuhusu kugombana ndotoni jaribu kuogea chumvi ya mawe .