Maana yake niInakuwaje zaidi ya mara tatu naota napigana na mshua😂, yaani tunapigana sana na mawe wakati mwingine namhurumia lakini na yaye ananitupia mawe inabidi na mimi nimrushie.
Yaani tunapigana sana ðŸ˜, ni ndoto ya kujirudia pamoja na kuwa tuna mahusiano mazuri.
Tafsiri tafadhali.
1.Upo katika kipindi cha kutaka kusimamia,kujitegemea,kujiamulia maisha yako.
Ni kipindi cha hatua za kutafakari na kupata stress za kuhitaji kujisimamia.
Kuhusu wewe inaonekana bado maisha yako yameshikana kiutegemezi na mzazi wako,bado hujasimama mwenyewe kimaisha kwa asilimia 100.
Hivyo unatamani kusimamia mwenyewe,changamoto sa maisha na mawazo ya kupambana nazo ndiyo sababu ya kutoa hivyo...
Hilo ni swala la nafsi na utashi na halima uhusiano wowote na ushirika.