Nimeota zaidi ya mara tatu napigana na baba. Nini tafsiri ya ndoto hii?

Maana yake ni

1.Upo katika kipindi cha kutaka kusimamia,kujitegemea,kujiamulia maisha yako.

Ni kipindi cha hatua za kutafakari na kupata stress za kuhitaji kujisimamia.

Kuhusu wewe inaonekana bado maisha yako yameshikana kiutegemezi na mzazi wako,bado hujasimama mwenyewe kimaisha kwa asilimia 100.


Hivyo unatamani kusimamia mwenyewe,changamoto sa maisha na mawazo ya kupambana nazo ndiyo sababu ya kutoa hivyo...

Hilo ni swala la nafsi na utashi na halima uhusiano wowote na ushirika.
 
Kuna maneno baba yako aliyatamka kukuhusu wewe, hayo maneno ndio yana kukwamisha yanakua kikwazo kwenye mambo yako(baadhi) kwahyo kama unaimani ya kikristo... Futa maneno mabaya yote yanayotoka kwa familia (pengine sio baba ila inakuja picha ya baba kwasababu mara nyingi baba anawakilisha familia yako ukoo wako)..

Mfano familia yenu mtoto wa kiume wa mwisho anatakiwa akae nyumbani ila wewe ni wa mwisho lakini unaishi mkoa tofauti na nyumbani, na mambo yako yanakuwa magumu kwasababu hiyo bila wewe kujua, ndoto kama iyo inaweza kuja ili kukueleza shida unayopitia inatoka kwa baba(familia)
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
"nani zaidi, mimi au yeye".

Wivu huo unamuonea baba'ko kwa mama'ko.

Unajiuliza kwanini hukuzaliwa wewe kwanza. Pigana nae ukiwa macho ndiyo utajuwa nani zaidi.
 
yaani ndoto haina tafsiri yyte ya yanayokuja kutokea mbele...ila ndoto ni mmjumuisho wa mawazo na picha nyiiiingi ambazo zipo kwenye ubongo......
kama ndoto umeipenda au kuichukia na ukawa unaifikiria sana ni rahisi kujirudia
let say mimi nilikua nalichukia nyani linanikimbiza halaf linataka kunichoma kisu
basi ile ndoto ilikua inajirudia sana coz nilikua naifikiria
wataalamu wataongezea zaidi.
 
😅😅
 
Hii kitu ni ya kweli hata mimi iliwai nitokea kipindi dingi ananileta makosa SEMA itakuwa ding Yako alikuchapa sana ukiwa mdogo
 
Na ndio uhalisia wenyewe.
 
Ndoto rahisi kutafsiri,nimesoma vitabu zaidi ya 20 vya kufasiri ndoto vya jamii tofauti na wanazuoni.
Naeza kufasiri hivi.
Kama ulimshinda basi hadhi, uchumi na nyota yako itakua kuu kuliko ya baba yako, kama alikupiga basi hutaweza kumvuka kwa vyovyote, na hata ikiwa ni kwa muda utarud nyuma, kama ngoma droo basi utakuwa wa kawaida wa kiwango chake. ( Twaweza ona mfano wa Yakobo alivyopigana na Mungu hadi akamshinda)
2 .Tafsiri ya pili , ni kama hamkuwa na maelewano mazuri na baba yako mna ugomvi basi ndoto iyo imekuja kutokana na mawazo ya muda mrefu ya kutokuelewana kwenu.

Mwenye ndoto mwi gine aje.
Hasa za nyoka , unaota nyoka unadhani ni laana uongp mkubwa
 
Naunga mkono hoja mtoa uzi zingatia hapa kuna kitu utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…