Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi.

Mvua za vuli kama zinavyochelewa na kutarajiwa kunyesha Kwa kishindo kikubwa.

Nimeoteshwa mamlaka inaenda kufanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kabla mwaka huu haujaisha, ilitarajiwa sana ndani ya mwezi huu hayo Mabadiliko ambayo yakafanywa kuchagizwa na Precious Saga.

Ndoto hii inaenda kutimia soon piga ua Baraza linaenda kupanguliwa any time soon.

I hayo machache ubishi na kupinga ni vipaji pia. Anaebisha shukrani.

The truth loading...
 
Ni baraza pekee ewe muota ndoto?
Sitaki kusema mengi jua ni Baraza la Mawaziri, ni katika ukubwa gani au udogo gani na itawagusa nani na nani tuache malaika waamue.

Kuna baadhi hawataguswa na wapo hamtafurahi wasipoguswa na maisha ndio haya haya aliepewa kapewa asietaka aende Cuba.
 
Kupangua au kupanguana hakuma maama yoyote unamtoa Mwizi Kwenye Madini Mwizi huyo huyo unampeleka akaibe viwanja vya ndege🤣🤣
 
Kwahiyo baada ya kuoteshwa tu ukakurupukia huku
 
Kupangua au kupanguana hakuma maama yoyote unamtoa Mwizi Kwenye Madini Mwizi huyo huyo unampeleka akaibe viwanja vya ndege🤣🤣
Hapo sasa!
Yaani ukivurunda unapelekwa kwingine ukavurunde!
Wanatuona mazuzu sana hawa walio uongozini.
Ila msisahau. Siye ni WADANGANYIKA! Hata watoto wetu hawadanyiki wala kuchezewa chezewa kama sisi!
PURE ZOMBIES KABISA
 
I have lost complete faith in this administration.

Nachosubiri na kuomba Mungu wamalize tu muda wao waende.

Kama kuna lolote la maana unasubiri toka kwao sahau. Fanya mambo yako tu.
 
😁😁
 
I have lost complete faith in this administration.

Nachosubiri na kuomba Mungu wamalize tu muda wao waende.

Kama kuna lolote la maana unasubiri toka kwao sahau. Fanya mambo yako tu.
Hawaendi popote ccm ni chama chako na akitoka wa ccm anarudi wa ccm wote ni wale wale. Keep waiting until you die
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…