Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

Mtaani huku hayajakauka maji peke yake.
 
hayo machache ubishi na kupinga ni vipaji pia. Anaebisha shukrani.[emoji848][emoji2827]
 
Hakika hio ndoto nimeoteshwa ni yenye hakika sitaki kusema mengi ila no doubt at all
Umeoteshwa au ndivyo itakavyokuwa?Ni sawa na kumwambia mtu ..." nimeoteshwa asubuhi utapatapa staftahi"...!Sasa hiyo ni ndoto au utapeli?
 
Unadhani Mabadiliko ya baraza la mawaziri yana faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida?
 
Mabaraza yalikuwa yanaundwa na kina Ben bythen yalitikisa Nchi sofar wanabadili manaibu tu hii ngoma kwa sasa inatakiwa mama aanze na mzee wa super bkack, nishati, katiba na sheria, mambo ya ndani,kilimo then kidogo mambo yatakuwa mswano
 
Baraza la mawaziri haliwezi kubadilishwa kwasababu kwenye nishati ndiye anakiwa apumzishwe ila hawezi kupumzishwa kwasababu wazee walio nyuma ya pazia wana maslahi kupitia yeye
 
Tatizo ni mbadilishaji wala sio wabadilishwaji!
 
Mmeapa na mmeonywa kutotoa siri za vikao vya ndani! Sasa kwa nini mnawashwawashwa?
 
Likisha fanyiwa mabadiliko watu wa Dar watapata Maji? Vijana watapata ajira? Acheni ujinga,
 
Hawa watawala bila ya kutoka Barabarani hakutakuwa na mabadiliko
 
Hata babu wa Loliondo nae alisema ameoteshwa,

Wewe umeoteshwa na nani sasa?
 
Chadomo wanahamu Sana kuona Makamba JR,Mwigulu Nchemba na Nape wakipanguliwa..

Unfortunately hao ndio Askari wa miamvuli wa SSH wapo Hadi 2030.
 
Hakuna kituu

Vipenzi vya Mama lazima virudi kama ni kweli umeoteshwa
 
Atateua watu kutoka mbinguni? shida siyo mawaziri shinda ni mfumo mbovu wa kutegemea mawazo ya mtu mmoja ndiyo yapo sahihi
 
I have lost complete faith in this administration.

Nachosubiri na kuomba Mungu wamalize tu muda wao waende.

Kama kuna lolote la maana unasubiri toka kwao sahau. Fanya mambo yako tu.
Ukweli huu ni utawala mbovu kupita kiasia
 
Ngoja tusubiri, maana kuna ndoto na ndoto, kuna ndoto za kweli na ndoto za Alinacha ambazo ni ndoto tuu. Ndoto za kweli ni maono na huwa zinatimia, ndoto za ndoto tuu hubaki kuwa ndoto!.
P
 
who cares...we know hata kama wakiingizwa malaika, as long as ni CCM, hatakuwa na jipya akili yake itadumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…