Nimeoteshwa kuwa Marais mbalimbali Afrika wataongeza mishahara kwa Wanajeshi

Nimeoteshwa kuwa Marais mbalimbali Afrika wataongeza mishahara kwa Wanajeshi

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
854
Hii ndoto hii, imekuja baada ya mimi kuwa nimejifungia chumbani kwangu na kuangalia TV kwenye channel isiyopatikana hapa Tanzania. ha ha ha ha...
Channel hiyo imeripoti kuwa, Rais Museven wa Uganda, amewapandisha vyeo wanajeshi 300 (mia tatu).

Ha ha ha wakati naangalia channel hiyo, mtangazaji mmoja alinukuliwa akisema hiyo ni sawa na kumhonga hela mwanamke asiyekutaka ama kukupenda.

Ha ha ha hah......Mugabe Fever is spreading across African continent.

kwa habari kamili, fungua link hii ya Mwananchi online: Museveni awapandisha vyeo maofisa 300 wa jeshi
 
Kupandishwa cheo kuna uhusiano upi sasa?wakiamua wanaamua tu mkuu.
 
Umeanza kuwehuka.. Utaotaje Kwa jambo unaloliona!!!
 
Hoja yako ni kuwa ukiona watumishi Wa umma wameongezwa mishahara mwezi huu ionekane ni jambo la jumlajumla hata kwa Marais wengine wamefanya hivyo....
Unajua hiyo ni roho ya namna gani inayokusumbua???Chuki na wivu kwa Rais Magufuli ili aonekane hana lolote....
Mwishowe mtajinyonga ninyi Bavicha isiyo na kichwa sasa
 
Wewe mtu sijui una tatizo gani? Nimeshindwa hata kujibu ulichoandika. Sijui nikueleweje, maana unacho-comment ni tofauti kabisa na nilichoandika kwenye post yangu. Kwenye post yangu sijataja mtu tofauti na Museven, sijataja nchi tofauti na Uganda, sijataja watumishi tofauti na wanajeshi wa Uganda, na zaidi ya yote subject ya post yangu ina neno..'NIMEOTESHWA'.... Acha kujishtukia, ungekuwa makini na mtambuka kifikra ungenijibu kimafumbo iwapo unadhani nimeandika kimafumbo. Anyway, Mungu akusamehe na akuepushe na baya lolote. Maana imani yangu ni kuwaombea mema hata wanaonikwaza.
 
Ungekuwa na imano ya kuwaombea wanaokukwaza ungejua kuwa biblia inasema MUNGU HAMSIKII MNAFIKI
Nia yako imegundulika na danganya watoto wadogo
Btw endelea kuota usiku unakaribia
 
Back
Top Bottom