Nimepambana na nyati, kilikua ni kifo

Nimepambana na nyati, kilikua ni kifo

Mzee wa mikumi, vipi ni ile Boxer ndo ilipata pancha au bajaj.
 
we bwana we, kwa vichekesho na mikumi yako uko kama twiga mwoga vile, leo nyati umemuweza alivyo mweusi strong na pembe na harufu ile mbaya ukamudu kumshinda lakini hujasema aina ya silaha uliotumia, any way sio mbaya sana tumefurahia stori
 
Matatizo ya kura viroba na bangi wakati huu wa joto kali ni shida sana. Usirudie
 
Hivi wale wanao cheza pooltable ndo wamehamia humu, throughout ni post zisizo na mantiki,
 
Kumbe na ww n jipu! Inabidi utumbuliwe!
 
Back
Top Bottom