Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Anatoka kwenye sherehe huyo lazima. Kapiga bufee la haja. Hajaruka gudulia hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
Gudulia ndio nini mkuu?Anatoka kwenye sherehe huyo lazima. Kapiga bufee la haja. Hajaruka gudulia hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Gudulia ni chombo. Kwa muktadha huu ni Vyombo vile vinamowekwa vyakula mbalimbali kwenye sherehe. Samahani kwa usumbufu wowote niliokusababishia.[emoji120][emoji120]Gudulia ndio nini mkuu?
Haaaa....shukrani mkuuGudulia ni chombo. Kwa muktadha huu ni Vyombo vile vinamowekwa vyakula mbalimbali kwenye sherehe. Samahani kwa usumbufu wowote niliokusababishia.[emoji120][emoji120]
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
HahajaaaKama ni daladala ya nyuki-kivukoni Mida ya saa nne . Namjua
hahahaaaa!! KWA NINI UMENICHEKESHA?!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Na usikute yupo humu