Nimepanda daladala kuna mtu anajampa toka mwanzo wa safari natamani nishuke

Nimepanda daladala kuna mtu anajampa toka mwanzo wa safari natamani nishuke

Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
Anatoka kwenye sherehe huyo lazima. Kapiga bufee la haja. Hajaruka gudulia hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Gudulia ni chombo. Kwa muktadha huu ni Vyombo vile vinamowekwa vyakula mbalimbali kwenye sherehe. Samahani kwa usumbufu wowote niliokusababishia.[emoji120][emoji120]
Haaaa....shukrani mkuu
 
Kikikuwa kinanukaje
Yaani toka tumeanza safari kuna mtu anajamba ushuzi unanuka balaa na daladala imejaa mno na safari bado ndefu nimevumilia nimeshindwa nimeamua kusema wazi kwenye daladala na watu wengine wamedakia lakini hali bado ni mbaya
Dah! Hizi daladala hizi zina karaa wakati mwingine
 
Acheni dharau kujamba ni haki ya kila mtu popote pale na mahali popote bila kujali kakaa na nani cha ziada ni afya
 
🤣🤣🤣🤣halafu uzuri ni kale ka "yuuuuuuusuph"temana hiyo habari.nikiachiaga hako kaushuzi najifeel comfortable Kama mbinguni yani.kujamba Raha sana 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom