Nimepanga kuhamia Dodoma, nitoke huku niliko.

Dodoma mzunguko wa ngawira mdogo sana. Bora uende Chugastan au Daslam
 
Saa 12 uwe umeshajifungia ndani
 
Mkuu tumia ilo wazo la kununua bodaboda autajutia pesa nje nje
 
Sana aanze na boda kwakua ni ya kwake mwenyewe pesa atapata sana.
 
Unatoka mkoani kijijini unapanga kuhamia mkoani Dodoma kijijini, kwanini watu mnapenda kuzifuata shida ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…