Mshahara wote ni sh ngapi? Yawezekana ni laki moja kama si 80,000Unajijua kuwa wewe ni mfujaji au? Sasa hapa umeleta taarifa mkeo usha mwambia
Hela Ya bia kwa watu wengine...Kama ni mshahara wa serikali hapo sawa upo fisuri1.5 nipo vizuri usilete dharau[emoji41] [emoji41]
kwa staili hii mpe wote kabisahizo ni dalili za stress, njoo upunguze stress mkuu, karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]