Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Haaaaa haaaaaaa mbona simple? Mpe card akachukue mwambie akupe Kama 100000 tu nyingine apange budget yy
 
Jf bhana kila mtu ana mshahara zaidi ya milioni...hivi mnafanyaga kazi gani wenzangu nyie?....
tatizo sio kila mtu ana mshahara wa milioni, ni kwamba wenye mishahara ya milioni ndio wenye guts za kuongea, hawalalamikagi kuchunwa wanajua ni wajibu wa mwanamke kutafuna kiasi cha pesa zake. we unaona haki mfanyakazi wa ndani unamlipa ila mamsapu hali hata shilingi yako? tuache unyanyasaji.
 
1.5 nipo vizuri usilete dharau[emoji41] [emoji41]
Aiseeee......[emoji15] [emoji15]
Huu ndio unaita mshahara mzuri.
Anyway.....
Basi sawa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Aiseeee......[emoji15] [emoji15]
Huu ndio unaita mshahara mzuri.
Anyway.....
Basi sawa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
numbers dont lie. statistics zinasema hela hamna na kazi hamna, kwanini nisijivune mapato yangu?
 
mkuu huyu mamsapu kwa bajeti nampigia saluti, ukimwachia laki 4 na nusu ya chakula kwa mwezi lazima mwisho wa mwezi hela ibaki, kosea vyote usikosee ukaja kuoa mfujaji.
Kwahiyo, unataka kutuambia kwamba kwakumpa 400 elfu mkeo, hapo una amini kwamba sio mfujaji!?
Amakweli wewe dawa imekuingia aiseeee.......
 
Back
Top Bottom