Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Kwahiyo, unataka kutuambia kwamba kwakumpa 400 elfu mkeo, hapo una amini kwamba sio mfujaji!?
Amakweli wewe dawa imekuingia aiseeee.......
lazima upime mkeo yupo vipi.. hiko kilikua ni kipimo, na amefaulu.
 
[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA!
kitu chochote chenye thamani hakiwi exposed, na kikiwa exposed lazima watu wakitolee kasoro, we unadhani kwanini mungu kajificha hadi leo? hahah, we amini hii.. mamsapu ni blak byuti. inatosha
 
Ukosawa ila wapo wanaofanya hivyo sio Wwe tu,ila wengi wao kwamtazamo wangu wameshikwa na wake zao.ila wenyewe wanaona niupendo ila mmi naona kama utumwa hata hera ya vocha anaenda kumuambia mkewe mma fulani nipe buku nikanunuevocha .ila kila mmoja nasistaili yake yamaisha.
 
wewe mpe wote halafu mwambie akupangie matumiz usiulize kwann kwa maana sababu unaijua..
 
Ukosawa ila wapo wanaofanya hivyo sio Wwe tu,ila wengi wao kwamtazamo wangu wameshikwa na wake zao.ila wenyewe wanaona niupendo ila mmi naona kama utumwa hata hera ya vocha anaenda kumuambia mkewe mma fulani nipe buku nikanunuevocha .ila kila mmoja nasistaili yake yamaisha.
kila mtu na bahati yake.
 
C dalil za kukmatw uku emb jtafkar kwanza
sifa mojawapo ya mke nilokua namtafuta ni asiwe mshirikina. mamsapu mcha mungu, anaombaga kweeli niache bia ila maombi hayo naona mungu hataki kuyasikia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom