clemency1992
New Member
- Jul 5, 2016
- 1
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji121]nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
Ebu ngoja wenye mishahara wajidai mkuu, sisi wakulima hatuna makuu[emoji5] [emoji5] [emoji5]Jf bhana kila mtu ana mshahara zaidi ya milioni...hivi mnafanyaga kazi gani wenzangu nyie?....
JF wanataka kuifanya Instagram..kila mtu ana good life.Ebu ngoja wenye mishahara wajidai mkuu, sisi wakulima hatuna makuu[emoji5] [emoji5] [emoji5]
kila mtu na bahati yake.Ukosawa ila wapo wanaofanya hivyo sio Wwe tu,ila wengi wao kwamtazamo wangu wameshikwa na wake zao.ila wenyewe wanaona niupendo ila mmi naona kama utumwa hata hera ya vocha anaenda kumuambia mkewe mma fulani nipe buku nikanunuevocha .ila kila mmoja nasistaili yake yamaisha.
SASA UNAMTANGAZIA NANI HAYO MAMBO YAKO YA NDANI?nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.