Habari za jioni wadau, shukrani za dhati kwanza kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwa kunijalia ajira kupitia ajira mpya 2023 kada ya elimu (msingi), nimepangiwa shule ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa.
Kwa wenyeji wa maeneo shule ilipo au wilaya ya Buchosa kwa ujumla wake naomba kupata ramani ya mazingira ya huko na fursa zote bila kusahau tamaduni zao na mambo ya kuwa nayo makini.