Kuwavumilia wasukuma na ushamba wao ni kipajiUkitaka kuishi kwa amani wewe usiwadharau tu wasukuma.
Nenda wekeza kwenye kilimo cha mananasi, uvuvi na madin.
Mno hawavumilikiKuwavumilia wasukuma na ushamba wao ni kipaji
KabisaMno hawavumiliki
Kabila lako linatosha hata wilaya ya ny'angw'ale?Kuwavumilia wasukuma na ushamba wao ni kipaji
Vinginevyo utajikuta umelala nje ya nyumba bila mavaziUkitaka kuishi kwa amani wewe usiwadharau tu wasukuma.
Nenda wekeza kwenye kilimo cha mananasi, uvuvi na madin.
Atafaidi kwa kilimo kwani amepangiwa kulima huko?Umepangiwa sehemu nzuri sana mkuu!! Ni wilaya mpya kabisa unapita tukuyu kwenda huko!! Ila kimaendeleo ipo chini, nilikuwako huko 2019, wakati huo ndo imeanzishwa tulikuwa tunafanya kazi mchana na kuja kulala tukuyu!! Ni vijijini sana Ila uzuri mvua zinanyesha muda wote utafaidi kwa kilimo!
Mkuu amemaanisha awekeze pia kwenye kilimo sio awe mwalimu tuu.[emoji23][emoji3]Atafaidi kwa kilimo kwani amepangiwa kulima huko?
Umepangiwa sehemu nzuri sana mkuu!! Ni wilaya mpya kabisa unapita tukuyu kwenda huko!! Ila kimaendeleo ipo chini, nilikuwako huko 2019, wakati huo ndo imeanzishwa tulikuwa tunafanya kazi mchana na kuja kulala tukuyu!! Ni vijijini sana Ila uzuri mvua zinanyesha muda wote utafaidi kwa kilimo!
HongeraHabari za jioni wadau, shukrani za dhati kwanza kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwa kunijalia ajira kupitia ajira mpya 2023 kada ya elimu (msingi), nimepangiwa shule ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa.
Kwa wenyeji wa maeneo shule ilipo au wilaya ya Buchosa kwa ujumla wake naomba kupata ramani ya mazingira ya huko na fursa zote bila kusahau tamaduni zao na mambo ya kuwa nayo makini.