Nimepangiwa Buchosa. Naomba wenyeji Mnisaidie kufahamu Maeneo ya huko

Mtafute Shigongo ndio mbunge wao huko ataweza kukupa hadi ukawa chawa wake kuongeza kipato chako maana salary ya mwalimu ni pesa ya mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…