Daspauls 238
Member
- Mar 7, 2024
- 36
- 70
Nimepangiwa CBG nauliza naweza nikasomea accounting and finance. Msaada please 🥺🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini? Mkuuhaiwezekani mkuu
CBG ni mambo ya sayansi, maana yake ukisoma CBG itakua ngumu kupata nafasi ya kusoma accounting kwa level ya degree,labda kama utaenda diplomaKwa nini? Mkuu
Je pcb na hiyo hamna tuHaifai dogo
Vipi kuhusu PCBAccounting inabidi ukasome EGM ,ECA au HGE.
Hiyo CBG ni combination mbovu sana itakulimit kusoma kozi nyingi nzuri za sayansi labda kama unampango wa kusoma education.
Inawezekana mkuu cha msingi ufaulu hayo kuanzia D form 6, pia uwe na angalau S ya BAM au D Maths olevel..Msaada please [emoji3064][emoji3064]
Inawezekana, kasome TCU guidebookhaiwezekani mkuu
Michepuo MizurMsaada please 🥺🥺
PCM inakubalika kozi nyingi vyuoni ukishasoma PCM,PGM utapata chaguo kubwa la Kozi vyuoniVipi kuhusu PCB
Kwa hiyo inawezekana au lahMichepuo Mizur
Ungesoma ECA, HGE, EGM
Advantage ya ukisoma michepuo tajwa hapo juu hauta pata tabu ukienda Elimu ya juu maana ukikutana na haya maneno "MACRO ECONOMICS" na "MICRO ECONOMICS" hakitakua kitu kigeni..
NB.
Hata iyo CBG ukasomee udocta wa mifugo..😊😊
All in all,
Ukisoma A_level masomo ya sayansi unakua na uwanja mpanaa wa Kuchagua kozi nyingi ikiwemo na hiyo uliyo itaja..
Generally criteria kwenye guide book ya TCU kwenye kozi unayo taka kuja kusoma.Kwa hiyo inawezekana au lah
Kwanini unadanganya watu?CBG ni mambo ya sayansi, maana yake ukisoma CBG itakua ngumu kupata nafasi ya kusoma accounting kwa level ya degree,labda kama utaenda diploma
Hata pcm unasoma bila shida, acha kudanganya.Accounting inabidi ukasome EGM ,ECA au HGE.
Hiyo CBG ni combination mbovu sana itakulimit kusoma kozi nyingi nzuri za sayansi labda kama unampango wa kusoma education.
sawaHata pcm unasoma bila shida, acha kudanganya.