Nimepangiwa CBG; naweza nikasomea Accounting and Finance?

Nimepangiwa CBG; naweza nikasomea Accounting and Finance?

Msaada please 🥺🥺
Unasoma bila shida, cha msingi uwe na ufaulu baasi!

NB: Nina jamaa alisoma HGL na sasa ni CPA Holder,na kuna mwingine alisoma PCM akaenda kusoma BAF mzumbe na sasa ni CPA Holder!

Kama una nia nenda kasome, inawezekana bila shida!
 
Kwanini unadanganya watu?
447729241_122149294016131023_548827933113509181_n.jpg
 
Ndiyo simply inawezekana , kasome TCU guide book utaona requirements zake kikubwa ufaulu tu
 
CBG ni mambo ya sayansi, maana yake ukisoma CBG itakua ngumu kupata nafasi ya kusoma accounting kwa level ya degree,labda kama utaenda diploma
Unauhakika na unachokiongea mkuu
Accounting inabidi ukasome EGM ,ECA au HGE.
Hiyo CBG ni combination mbovu sana itakulimit kusoma kozi nyingi nzuri za sayansi labda kama unampang

Accounting inabidi ukasome EGM ,ECA au HGE.
Hiyo CBG ni combination mbovu sana itakulimit kusoma kozi nyingi nzuri za sayansi labda kama unampango wa kusoma education.
Unauhakika mkuu ukisoma som lololote la hesabu account unapiga fresh kikubwa uwe mzur wa hesabu
 
Back
Top Bottom