FrancoTheStoryTeller
Member
- Dec 3, 2024
- 7
- 8
Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko.
Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine.
Asanteni