FrancoTheStoryTeller
Member
- Dec 3, 2024
- 7
- 8
- Thread starter
- #21
Natokea Dar nimepangiwa kikazi TCB Masasi BranchUngesema unatokea wapi?na utakuwa sehemu Gani ila watu wa Masasi wakusaidie moja Kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natokea Dar nimepangiwa kikazi TCB Masasi BranchUngesema unatokea wapi?na utakuwa sehemu Gani ila watu wa Masasi wakusaidie moja Kwa moja
Me nimetokea Dar nimepangiwa TCB branh masasiWilaya ya kijanja na iliyo changamka kushinda mikoa na wiyala zote za mikoa ya kusini, nenda utarudi na majibu hapa
Mitaa ya kijanja Mkuti kati kama utaki kelele kapange mtandi au mtaa unaitwa maliasiri mpya, usije ukapanga mtaa unaitwa migongo, Nyasa, Jida
Viwanja vya Bata ni kibo, BR, kwa Adam viazi n.k sijuh vipo Hadi Leo hivyo viwanja
Nilikaa kidogo hapo wakati navuka Border ya Mtambaswala kwenda nchi za SADC
Ouky,Unaedit haya maneno katika maelezo yako hapo juuNatokea Dar nimepangiwa kikazi TCB Masasi Branch
Kama hutojal karibu Pm nikupe namba za wadau wakutafutie GettoMe nimetokea Dar nimepangiwa TCB branh masasi
Masasi utakula bata mkuu! Nimekaa pale miaka 3 nitafute pm nikupe abc ! Pazuri sana maisha rahisi, vyakula bei poa! Vyumba bei poa! Hamna cha dalali
TCB masasi
Huko Nyasa. JIDA kote uswahilini vigodoro kwa sana.Wilaya ya kijanja na iliyo changamka kushinda mikoa na wiyala zote za mikoa ya kusini, nenda utarudi na majibu hapa
Mitaa ya kijanja Mkuti kati kama utaki kelele kapange mtandi au mtaa unaitwa maliasiri mpya, usije ukapanga mtaa unaitwa migongo, Nyasa, Jida
Viwanja vya Bata ni kibo, BR, kwa Adam viazi n.k sijuh vipo Hadi Leo hivyo viwanja
Nilikaa kidogo hapo wakati navuka Border ya Mtambaswala kwenda nchi za SADC
Mkuu kama hutojari njoo DM nikupe namba ya ndugu yangu pale akusaidie kutafuta room etc ye ni bodabodaNatokea Dar nimepangiwa kikazi TCB Masasi Branch
Viwanja vya kujidai kibo,viazi pub,br,CV joint,nk bado vipoWilaya ya kijanja na iliyo changamka kushinda mikoa na wiyala zote za mikoa ya kusini, nenda utarudi na majibu hapa
Mitaa ya kijanja Mkuti kati kama utaki kelele kapange mtandi au mtaa unaitwa maliasiri mpya, usije ukapanga mtaa unaitwa migongo, Nyasa, Jida
Viwanja vya Bata ni kibo, BR, kwa Adam viazi n.k sijuh vipo Hadi Leo hivyo viwanja
Nilikaa kidogo hapo wakati navuka Border ya Mtambaswala kwenda nchi za SADC
Mkumbuka kuvaa condom! Mmakonde anyimi ntu hasa mtumishi wa Umma!🙋🏻♂️Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko.
Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine.
Asanteni