FrancoTheStoryTeller
Member
- Dec 3, 2024
- 7
- 8
Si kweli kwa sasa mtwara imechangamka zaidi kuliko masasi.Wajuzi watakuja... Ila naskia wilaya ya masasi imechangamka kuliko mtwara mjini.
Usemalo ni kweliWajuzi watakuja... Ila naskia wilaya ya masasi imechangamka kuliko mtwara mjini.
Itabidi ujitoe sana ili uweze ku blend in, masasi ni kama kakitongoji tu kwa jiji la dar.Natokea Dar
Aache tu kazi akae dar kulikochangamkaItabidi ujitoe sana ili uweze ku blend in, masasi ni kama kakitongoji tu kwa jiji la dar.
Nadhan kimara inaweza kuwa imechangamka kuliko masasi
Ungesema unatokea wapi?na utakuwa sehemu Gani ila watu wa Masasi wakusaidie moja Kwa mojaHabari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko.
Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine.
Asanteni
Hakikisha unapata totoz ya kimako de wanajua kususuia mwanaume mbususuNatokea Dar
Sehemu mbaya sana.Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko.
Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine.
Asanteni
Masasi pako Poa tu kuliko sehemu nyingi huku kusini. Huku ni wewe tu lakin wengi wanaanzia miez mitatu mitatu na Bei ni nafuuHabari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko.
Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama kuna utaratibu mwingine.
Asanteni
Kibo ndio Kiwanja kikali masasi nzima kwa sasa.Wilaya ya kijanja na iliyo changamka kushinda mikoa na wiyala zote za mikoa ya kusini, nenda utarudi na majibu hapa
Mitaa ya kijanja Mkuti kati kama utaki kelele kapange mtandi au mtaa unaitwa maliasiri mpya, usije ukapanga mtaa unaitwa migongo, Nyasa, Jida
Viwanja vya Bata ni kibo, BR, kwa Adam viazi n.k sijuh vipo Hadi Leo hivyo viwanja
Nilikaa kidogo hapo wakati navuka Border ya Mtambaswala kwenda nchi za SADC
Nimepangiwaaa kikazi Branch ya TCB Masasi unapojua sehemu ilipo kwa masasi na mazingira ya kupata chumba self ipoje natarajia kureport JanuaryMasasi pako Poa tu kuliko sehemu nyingi huku kusini. Huku ni wewe tu lakin wengi wanaanzia miez mitatu mitatu na Bei ni nafuu
Karibu sana
Sehemu mbaya sana.
Wanawake wa kule wana ki harufu fulani pia cha hovyo sana.
Panda gari za Maning Nice