Nimepangiwa kinondoni, Lakini najuta...

Nimepangiwa kinondoni, Lakini najuta...

ZeTicha

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
80
Reaction score
2
Kuna watu wanasema kuna kata nyngne zpo wilaya ya kinondoni lakn n ngumu kufikika kirahisi, nisaidie n kata gani naweza kuwa karibu na magomeni.
Nb:-kw wenye moyo wa kusaidia tu.
 
mkuu mm nipo ilala, dah kwa Kino changamka uwekwe hata mugabe pale
 
Kipi kikujutishacho mkuu!! 2po pamoja mkuu na mimi ni huko huko so nadhani 2naweza onana hata ktk kituo ki1.
 
Mkuu itabd nishughulikie mugambe,
kanchi unapatkana wapi wewe?
 
Mkuu itabd ukiwepo dar tutafutane, mie napatikana magomen
 
Back
Top Bottom