Nimepangwa sumawanga mjini,tubadiishane

Nimepangwa sumawanga mjini,tubadiishane

achilles

Senior Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
109
Reaction score
18
mm ni mwalimu nimemaliza bachelor's degree UDSM main campus,nimepangwa sumbawanga manispaa nahitaji kubadilishana na mtu yeyote aliyepangiwa tanga,dar,arusha. piga 0763163677
 
achilles mbona sumbawanga kupo poa, ondoa shaka maisha ni popote.
 
Mbona hapa hapa Tanzania tu! Nenda kajenge nchi mkuu, wasiwasi wa nini?
 
Usishangae siku nyingine ukijikuta umelala nje kawaida sana huko mkuu
 
mm ni mwalimu nimemaliza bachelor's degree UDSM main campus,nimepangwa sumbawanga manispaa nahitaji kubadilishana na mtu yeyote aliyepangiwa tanga,dar,arusha. piga 0763163677

kuna jamaa angu kapangiwa Ngoreme.-Manchimeru serengeti. Ni Pm nkupe kontakti zake napo ni pazuri ajabu.
 
Pole sana mkuu..jiandae kufa.

Mkuu kweli hii nchi noma wenyewe wanakaa oysterbay na masaki lakini wanapangia wenzao sumbawanga, mara serengeti hili wakaliwe na fisi, kweli ualimu noma, nina jirani yangu kapangwa ng"ope nachingwea amechanganyikiwa maana anavyopenda kuuza mliman city anaona anaenda kuliwa na mamba
, Inabidi tuandamane ofisi za wanaopangia walimu vituo nazo zihamie porini ili wa feel the same pain hao nyambafu
 
Una sh ngapi? Mimi nimepangiwa Dar, ila nataka kwenda kulima huko Rukwa!
 
Nasikia Sumbawanga watu wanapoza chai na kikombe kimoja! YAANI anamwaga chai afu anaikinga tena
 
Nenda kwanza pakushinde ndio utafuta mpango wa kuhama. Sasa hata hujaenda, hujajua pakoje mazingira ya kazi na mazingira ya kuishi yakoje! Inaezekana maisha ya kazi yakawa magumu, ila kukawa na fursa nyingi za kimaendeleo na kibiashara. Tena kwa kazi za serikali izo, ukizoea kazini, unaweza ukawa unafanya kazi zako nyengine. Usiangalie shilingi upande mmoja mdau. Nenda sumbawanga,achana na fikra za kuwa maisha ni dar tu.
 
Kuna rafiki yangu yupo mjini sumbawanga kantalamba sec na anasema cio kubaya kama inavyosemekana jamani....nenda kwanza mpendwa ndo ujue pakoje cio unakuwa na phobia jus bse of the name!!
 
Mkuu sumbawanga manispaa pako powa sana, mimi nafanyia kazi hapo lakini mwenyeji wa Moshi mjini, nilipopata posti ya sumbawanga nusura nisiende kabisa lakini baada ya ushauri wa wadau nikaamua nende hivyo hivyo, AISEE NI PAZURI, hayo masuala ya ushirikina hakuna yaani ni mjini, maisha simple, umeme ni 24 hrs mgao hakuna, wewe unataka maisha gani, sehemu ambayo ni ngumu ni sumbawanga vijjn na Nkasi huko jamaa yangu noma, umeme no no na barabara usiombe na pia hata ushirikina ni kwa sana.
mm ni mwalimu nimemaliza bachelor's degree UDSM main campus,nimepangwa sumbawanga manispaa nahitaji kubadilishana na mtu yeyote aliyepangiwa tanga,dar,arusha. piga 0763163677
 
chukua namba yangu tuwasiliane na uniambie kias gani nione kama nina uwezo nacho
 
Back
Top Bottom