Kuna nn cha ajabu paleSoko lipo mjini kati, daladala zote zinafika na usafiri meingine upo wa kutosha. Hapa Kuna kitu serikali imefanya.
Takataka mvua zikinyesha maji yanaingia paa waliweka juu sana wakaacha uwazi mkubwa imekuwa keroSoko lipo mjini kati, daladala zote zinafika na usafiri mwingine upo wa kutosha. Hapa Kuna kitu serikali imefanya.
Nilichotaka kusema, miji mingine machinga wanatolewa nje ya mji. Dar ni special caseKuna tofauti gani na hapo Machinga Complex ya Dar ipo katikati ya mji pia na daladala zote zinafika/pita pale. au kuna kitu kingine ulitaka kusema. Kifupi hakuna maajabu yeyote hapo machinga complex ya Dodoma
Sasa hivi IPO maana daladala zinaingia ndo kituo kikuu Cha daladalaHakuna biashara hapo.Waulize wafanyabiashara wa hapo watakuambia
Soko lipo mjini kati, daladala zote zinafika na usafiri mwingine upo wa kutosha.
Hapa Kuna kitu serikali imefanya
Sisi wafanyabiashara tunasema biashara ipoHakuna biashara hapo.Waulize wafanyabiashara wa hapo watakuambia