Nimepapenda machinga Complex Dodoma

Nimepapenda machinga Complex Dodoma

Kuna tofauti gani na hapo Machinga Complex ya Dar ipo katikati ya mji pia na daladala zote zinafika/pita pale. au kuna kitu kingine ulitaka kusema. Kifupi hakuna maajabu yeyote hapo machinga complex ya Dodoma
 
Hakuna biashara hapo.Waulize wafanyabiashara wa hapo watakuambia
 
Kuna tofauti gani na hapo Machinga Complex ya Dar ipo katikati ya mji pia na daladala zote zinafika/pita pale. au kuna kitu kingine ulitaka kusema. Kifupi hakuna maajabu yeyote hapo machinga complex ya Dodoma
Nilichotaka kusema, miji mingine machinga wanatolewa nje ya mji. Dar ni special case
 
Back
Top Bottom