Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 110
- 169
Vyuo vyao gharama sanaHuko nje kujisomesha uwe vizuri Economically ndg
Nimeziona lakini ni partial scholarship ambazo bado gharama zake zipo juu sana.Nadhani hivyo vyuo huwa vina list pia scholarship programs ambazo zipo available kwenye hivyo vyuo husika.
So do your homework. Maana hata sisi tunashindwa kukusaidia kwakuwa umeamua kwa makusudi kuficha majina ya hivyo vyuo.
Kukusaidia mfano ukiingia British Council unaweza kuona programs za scholarships kwenye vyuo mbali mbali.
Tafuta za full zipoNimeziona lakini ni partial scholarship ambazo bado gharama zake zipo juu sana.
Mfano unalipiwa tuition fees lakini gharama zingine unakuta karibu mil 60 per academic year na unatakiwa proof kuwa utaweza kumudu hizo gharama.
Kwani vyuo unavoweza kumudu gharama huvioni?Nimeziona lakini ni partial scholarship ambazo bado gharama zake zipo juu sana.
Mfano unalipiwa tuition fees lakini gharama zingine unakuta karibu mil 60 per academic year na unatakiwa proof kuwa utaweza kumudu hizo gharama.
Sawa mkuu naangaikia ila ndio maana nimeomba support ya information. Information is power anaweza kuwepo mdau mwenye information za kunisaidia.Tafuta za full zipo
Vyuo nilivyoomba naona vitanifungulia mambo mengi kwenye career yangu. Hapa nachoomba ni information tu wala sio kingine naamini wapo wenye nazo na watanisaidia.Kwani vyuo unavoweza kumudu gharama huvioni?
Asante sana mkuu ngoja nimsake.Mleta mada, tafuta nyuzi humu za mkuu wa kuitwa Meneja Wa Makampuni , anazo nyuzi humu very informative kwenye issues za full funded scholarships worldwide.
-Kaveli-
TEKU...Kwani vyuo unavoweza kumudu gharama huvioni?
BlessVyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa
Shape your English language first uwe na
IELTS or TESOL certification and
Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi
Nchi ambayo ni nafuu Poland hangary and Portugal etleast bank statement iwe inasoma euro 4500 hapo uwe umesha lipa full fees
Mdogo wangu Wacha kuchisha akili kama huna pesa pambana uombe full funded scholarship na scholarships wanakutak uwe umeshakuwa admitted at any aniversities
Na admition there is a application fees at least 50-150€
Nchi ambayo kupata ni issue na zipo kwenye competition kubwa around the world ni US, Australia, Canada,Uk, new Zealand,Germany and all Scandinavian countries
Pambana kuomba nchi ndogo zilipo ukija wa ulaya utakuja kunishukur baadae mf Latvia, Lithuania,Estonia,Malta etc
Zipo vizuri kiuchumi and after post studies
Ukihitaji msaada Kwa USHAURI karibu ila usiwe mvivu kusoma tu
Goodluck
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaTEKU...
Many thanksVyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa
Shape your English language first uwe na
IELTS or TESOL certification and
Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi
Nchi ambayo ni nafuu Poland hangary and Portugal etleast bank statement iwe inasoma euro 4500 hapo uwe umesha lipa full fees
Mdogo wangu Wacha kuchisha akili kama huna pesa pambana uombe full funded scholarship na scholarships wanakutak uwe umeshakuwa admitted at any aniversities
Na admition there is a application fees at least 50-150€
Nchi ambayo kupata ni issue na zipo kwenye competition kubwa around the world ni US, Australia, Canada,Uk, new Zealand,Germany and all Scandinavian countries
Pambana kuomba nchi ndogo zilipo ukija wa ulaya utakuja kunishukur baadae mf Latvia, Lithuania,Estonia,Malta etc
Zipo vizuri kiuchumi and after post studies
Ukihitaji msaada Kwa USHAURI karibu ila usiwe mvivu kusoma tu
Goodluck
Shukran sana kiongozi hizo nchi ndogo zinakuwa na competition ndogo ya waombaji ndicho unamaanisha? Hizi English proficiency test IELTS nayo ni changamoto kupata vituo vya mafunzo kwa sisi tulioko mikoani.Vyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa
Shape your English language first uwe na
IELTS or TESOL certification and
Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi
Nchi ambayo ni nafuu Poland hangary and Portugal etleast bank statement iwe inasoma euro 4500 hapo uwe umesha lipa full fees
Mdogo wangu Wacha kuchisha akili kama huna pesa pambana uombe full funded scholarship na scholarships wanakutak uwe umeshakuwa admitted at any aniversities
Na admition there is a application fees at least 50-150€
Nchi ambayo kupata ni issue na zipo kwenye competition kubwa around the world ni US, Australia, Canada,Uk, new Zealand,Germany and all Scandinavian countries
Pambana kuomba nchi ndogo zilipo ukija wa ulaya utakuja kunishukur baadae mf Latvia, Lithuania,Estonia,Malta etc
Zipo vizuri kiuchumi and after post studies
Ukihitaji msaada Kwa USHAURI karibu ila usiwe mvivu kusoma tu
Goodluck
Na kama huwezi kuwa na hiyo chet ya lugha sahau kuhusu kusom ulaya through scholarship sabab Tanzania sio native English speaker of English languageShukran sana kiongozi hizo nchi ndogo zinakuwa na competition ndogo ya waombaji ndicho unamaanisha? Hizi English proficiency test IELTS nayo ni changamoto kupata vituo vya mafunzo kwa sisi tulioko mikoani.
Mimi sijawai fanya mtihani wa IELTS na nimepata admission zote hizo bila condition ya IELTS. Kuna vyuo kama ukionesha A level umesoma Tanzania au bachelor umesoma Tanzania hawadai cheti cha IELTS...nchi niliyoona inakomaa na IELTS ni finlandShukran sana kiongozi hizo nchi ndogo zinakuwa na competition ndogo ya waombaji ndicho unamaanisha? Hizi English proficiency test IELTS nayo ni changamoto kupata vituo vya mafunzo kwa sisi tulioko mikoani.