Vyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa
Shape your English language first uwe na
IELTS or TESOL certification and
Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi
Nchi ambayo ni nafuu Poland hangary and Portugal etleast bank statement iwe inasoma euro 4500 hapo uwe umesha lipa full fees
Mdogo wangu Wacha kuchisha akili kama huna pesa pambana uombe full funded scholarship na scholarships wanakutak uwe umeshakuwa admitted at any aniversities
Na admition there is a application fees at least 50-150€
Nchi ambayo kupata ni issue na zipo kwenye competition kubwa around the world ni US, Australia, Canada,Uk, new Zealand,Germany and all Scandinavian countries
Pambana kuomba nchi ndogo zilipo ukija wa ulaya utakuja kunishukur baadae mf Latvia, Lithuania,Estonia,Malta etc
Zipo vizuri kiuchumi and after post studies
Ukihitaji msaada Kwa USHAURI karibu ila usiwe mvivu kusoma tu
Goodluck