Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

Shukran sana kiongozi hizo nchi ndogo zinakuwa na competition ndogo ya waombaji ndicho unamaanisha? Hizi English proficiency test IELTS nayo ni changamoto kupata vituo vya mafunzo kwa sisi tulioko mikoani.
Sio lazina kufanya IELTS - waweza pia Fanya pte person / academic au general na ukiweza pata maksi walau 43 ktk 4 components ( speaking, writing, listening and reading) unapeta…hii ni sawa na B1 ktk CEFR… mitihani hii waweza fanya Kwa kutumia vishikwambi mradi tu uwe na internet

Soma zaidi hapa

 
Thanks mkuu, kitabu kizuri sana. Very useful
Kwa kuongezea, balazi wetu mpya wa Tanzania nchini UK, anapigia sana chapua hizi Chevening. Anafanya kazi nzuri sana kutangaza fursa zilizopo huko uk- ukiwasiliana na Ubalozi huko London au website yao, watakupa maelezo namno bora ya kushinda hizi Chevening scholarip maana ni competition kubwa kama ile ya Yanga na Mamelodi...lazima ujue mbinu za kutoboa sio kuingia kichwa kichwa bila ushauri wa waombaji waliofanikiwa kuzipata.

Angalia hapa kwa mfano namna ya kuandika leadership and influencing essay:
View: https://youtu.be/I3ClNwjHLZQ?si=4zFwPDcEEGlvrcS2
Nyingine hii hapa- muhimu sana:
View: https://youtu.be/syQ4DP2ZdoI?si=AFWTmz86lHSVzjX_
Naya ya mwisho hii hapa inayo cover essay nne zote:
View: https://youtu.be/YInI_v-QeLM?si=tAtK0xQ9ALL4nLNA
 
Mimi sijawai fanya mtihani wa IELTS na nimepata admission zote hizo bila condition ya IELTS. Kuna vyuo kama ukionesha A level umesoma Tanzania au bachelor umesoma Tanzania hawadai cheti cha IELTS...nchi niliyoona inakomaa na IELTS ni finland
EU countries zote zina mfumo mmoja wa elimu unaitwa bologna agreement
Kama hawahitaji IELTS basi watakulazisha usome Kwa lugha Yao wether it's a Polish or Danish etc
 
EU countries zote zina mfumo mmoja wa elimu unaitwa bologna agreement
Kama hawahitaji IELTS basi watakulazisha usome Kwa lugha Yao wether it's a Polish or Danish etc
Nimeomba course za English na nimepata admission sijaombwa hiyo kitu japo kuna vyuo walitaka nikavipotezea. So hiyo IELTS ni muhimu ila sio kikwazo kupata chuo.
 
mkuu kunakitu haujakielewa hapo , umepewa conditional letter na sio unconditional letter bado chuo haujapata Hapo, bado haujakamilisha vitu bado ndio maana wamekupa conditional letter kuna vitu unatakiwa ukamilishe kwanza.kupata chuo unatakiwa upewe unconditional letter.
 
Madini saana hapa.
 
Nimeomba course za English na nimepata admission sijaombwa hiyo kitu japo kuna vyuo walitaka nikavipotezea. So hiyo IELTS ni muhimu ila sio kikwazo kupata chuo.
Kuwa na conditional latter ili update usability kuna vitu unatakiwa kukamilisha,hata hivyo ili upate full scholarship hizo IELTS ni kigezo muhimu sana pamoja na GPA.
Chochote kizuri kina ushindani.
 
Ukiona una ndoto za kusoma ulaya halafu ufaulo wako sio mkubwa na huna hela,njia nzuri ni tafuta kazi Serikali kaa miaka 2 hadi 3 kisha omba hizo scholarship zipo wazi.
Serikali huingia makubaliano na Serikali za Nchi nyingi kusomesha watumishi wake-huku zipo nyingi.
Issue kubwa ni kuwa vipaumbele hubadilika kutokana na muda na majukumu-utajikuta tena hata hutaki.
 
Na kama huwezi kuwa na hiyo chet ya lugha sahau kuhusu kusom ulaya through scholarship sabab Tanzania sio native English speaker of English language
Course zinatolewa British council etc
Fees 560000 per seat
Hii course inatolewa kwa mda gani ? Na je mtu anaweza kufanya mitihani akiwa mwanafunzi mfano advance?
 
Je kwa mwanafunzi anaemaliza form six na ana ufaulu wa juu mfano PCM ana division 1 point 3 na ada ipo ni kipi cha kufanya apate tu nafasi ya kusoma kwenye hivyo vyuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…