Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 110
- 169
- Thread starter
-
- #41
Nimepewa admission letter chuo kimoja cha Findland.mkuu kunakitu haujakielewa hapo , umepewa conditional letter na sio unconditional letter bado chuo haujapata Hapo, bado haujakamilisha vitu bado ndio maana wamekupa conditional letter kuna vitu unatakiwa ukamilishe kwanza.kupata chuo unatakiwa upewe unconditional letter.
Kama una huo ufaulu omba scholarship hata kama umeomba vyuo vya ndani ukipata usiache kuomba scholarship za nje utapata ukipata usaidizi wa kujqziwa vizuri, ukipata unaachana na vyuo vya Tanzania unaenda nje.Je kwa mwanafunzi anaemaliza form six na ana ufaulu wa juu mfano PCM ana division 1 point 3 na ada ipo ni kipi cha kufanya apate tu nafasi ya kusoma kwenye hivyo vyuo?
Niliichukua muda mrefu sana kuomba hizi scholarships kutokana na maelezo ya uongo kama haya nilikuwa nahofia sina IELTS na sina first class naipataje scholarship. Ndio kuna vyuo ni lazima hizo vitu ila kuna vyuo vingi tu na school nyingi sana hawataki hayo mavitu.Kuwa na conditional latter ili update usability kuna vitu unatakiwa kukamilisha,hata hivyo ili upate full scholarship hizo IELTS ni kigezo muhimu sana pamoja na GPA.
Chochote kizuri kina ushindani.
Ahsante kwa majibu yako kiongoziKama una huo ufaulu omba scholarship hata kama umeomba vyuo vya ndani ukipata usiache kuomba scholarship za nje utapata ukipata usaidizi wa kujqziwa vizuri, ukipata unaachana na vyuo vya Tanzania unaenda nje.
Kama ada ipo nenda kasome tu hata hapo Kenya au South Africa sio mbayaJe kwa mwanafunzi anaemaliza form six na ana ufaulu wa juu mfano PCM ana division 1 point 3 na ada ipo ni kipi cha kufanya apate tu nafasi ya kusoma kwenye hivyo vyuo?
Mie ninachotaka ni kujua tu kuwa inawezekana kupata chuo kizuri kinachotoa taaluma bora kuhusu gharama mfno hiyo dollars 25k sio shidaKama ada ipo nenda kasome tu hata hapo Kenya au South Africa sio mbaya
Europe is very expensive to study especially for aliens just like you na hizo nchi unazoziwaza kichwa kwako huwezi kupata viza unless unae kibunda ya kutosha altest uwe na 25000 dollars during your visa application
Ulaya nchi rahisi na zenye gharam nafuu ni Baltic countries Slovenia, Latvia, Slovakia, Lithuania etc wap fees zao atlest 4000-7000 euro per Year
It is possible but it is not easy
Vyuo vpo Bora Sana,je na ww ni Bora unaweza kuonyesha ushindan na native citizens?Mie ninachotaka ni kujua tu kuwa inawezekana kupata chuo kizuri kinachotoa taaluma bora kuhusu gharama mfno hiyo dollars 25k sio shida