Nimepata aibu mbaya, funga mwaka

Kama movie la kidosi hapo muendelezo unaweza kupewa mambo kwa kuwa binti kapenda ulivyoanguka na kumchekesha.

Yani alikuwa anajua wewe bwege unamuingiza kingi tangu mwanzo,ila alitaka aone utakavyoanguka utaanguka vipi tu.

Acheni fix zisizo kichwa wala miguu.
 
Pole sana mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…