Nimepata aibu mbaya, funga mwaka

Nimepata aibu mbaya, funga mwaka

shin gun wook

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
995
Reaction score
1,514
Jana jioni nilimpitia mrembo flani jirani yangu kumjulia hali.wakati akinisindikiza tukapita sehemu kuna uwanja wa mpira ,basi nikaanza bwebwe kujisifia kwamba timu kibao zilitaka kunisajili nikakataa.nikamwambia juzi juzi man united tu niliwatosa.Watoto wakike hawa bila kuwadanganya sometime ngumu kuwala.basi nikamuomba Mzigo kijanja.
Yule binti akaniambi kwa kua umesema unajua soka basi ingia uwanjani goli utakazofunga ndo hizo ntakupa

Basi akanivuruga akili na ugwadu wangu.kidume kuingia uwanjani japo sijacheza siku nyingi. hazikupita dakika tano ile nakimbia na mpira nikaukanyaga mpira nilianguka vibaya puuuu.,ikawa mwisho wangu.

Kabla sijainuka cha kwanza ilikua kumuangalia yule mrembo kaniona?kumuangalia anacheka mpaka kaanguka chini machozi yanamtoka.papuchi nimeikosa .kuaibika nimeibika.mkono umeteguka.nilijiokota chini taratibu nikaondoka bila kuaga.uwanja mzima ilikua kicheko.
 
Kati ya watu waliokumbana na aibu ni Mimi ila Mungu atatenda.
 
Back
Top Bottom