Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Wakuu..
Poleni na kazi..
Samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande..
Sasa ukweli sitaweza kukaa hivi naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzuri ya kuweka artificial maisha yaendelee wakuu..
Nipo Morogoro sikuumia sana ila tatizo vijeraha vidogo na hiyo ya meno