Nimepata ajali nimeng'oka meno mawili

Nimepata ajali nimeng'oka meno mawili

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
892
Reaction score
683
Wakuu..

Poleni na kazi..

Samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande..

Sasa ukweli sitaweza kukaa hivi naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzuri ya kuweka artificial maisha yaendelee wakuu..

Nipo Morogoro sikuumia sana ila tatizo vijeraha vidogo na hiyo ya meno
 
Pole jomon [emoji126] chamuhim shukuru kama pesa unayo na mashine ipo salama pengo tutalivumilia hilo tuu
 
nenda hosptalin wataangalia namna yakukuweka sawa

ila ulipata ajali au ulichezea ngumi jiwe
 
Wakuu..polen na kazi..samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande...sasa ukweli sitaweza kukaa hiv naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzur ya kuweka artificial maisha yaendelee wakuu..nipo morogoro sikuumia sana ila tatizo vijerana vidogo na hiyo ya mano
mkuu kwa uandishi huu naamini umeng'oka meno 2 pole sana bila shaka unaandika kwa kutumia minjino
 
Wakuu..polen na kazi..samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande...sasa ukweli sitaweza kukaa hiv naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzur ya kuweka artificial maisha yaendelee wakuu..nipo morogoro sikuumia sana ila tatizo vijerana vidogo na hiyo ya mano
Nenda pale Victoria
 
Nenda hospitali kubwa karibu na mahali unapoishi.....wakiwa na kitengo cha dental bs tatzo lako litatatuliwa....

Ila wadada huwa wanapenda sana mtu mwenye mapengo.

Au uwongo wadada!!???[emoji41]
 
Back
Top Bottom