Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Naww ulipata ajali bikira ikatoka?Pole jomon [emoji126] chamuhim shukuru kama pesa unayo na mashine ipo salama pengo tutalivumilia hilo tuu
mkuu kwa uandishi huu naamini umeng'oka meno 2 pole sana bila shaka unaandika kwa kutumia minjinoWakuu..polen na kazi..samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande...sasa ukweli sitaweza kukaa hiv naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzur ya kuweka artificial maisha yaendelee wakuu..nipo morogoro sikuumia sana ila tatizo vijerana vidogo na hiyo ya mano
Mkuu [emoji2][emoji2][emoji2]Naww ulipata ajali bikira ikatoka?
Ajali mkuu...nenda hosptalin wataangalia namna yakukuweka sawa
ila ulipata ajali au ulichezea ngumi jiwe
Nenda pale VictoriaWakuu..polen na kazi..samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande...sasa ukweli sitaweza kukaa hiv naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzur ya kuweka artificial maisha yaendelee wakuu..nipo morogoro sikuumia sana ila tatizo vijerana vidogo na hiyo ya mano
Stress tayal ukiona hivyomkuu kwa uandishi huu naamini umeng'oka meno 2 pole sana bila shaka unaandika kwa kutumia minjino
[emoji39][emoji39][emoji39]Pole jomon [emoji126] chamuhim shukuru kama pesa unayo na mashine ipo salama pengo tutalivumilia hilo tuu
Sipajui mkuu na vipi garama zake..naomba kupata taarifa kwa kina..Nenda pale Victoria
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] toa msaada kakatuma picha tuone ukubwa wa tatizo!
Ahsante kaka...Pole sana
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] picha hiyo hapoPOLE MKUUU...
WEKA KAPICHA BASI