Nimepata ajira Katavi, naomba kujua mazingira ya huko

Nimepata ajira Katavi, naomba kujua mazingira ya huko

Joined
Sep 6, 2016
Posts
26
Reaction score
62
Jamani nimepangwa hospitali ya rufaa ya mkoa Katavi. Naomba kujua mazingira ya hii hospitali yakoje? Je ni mpya au?
 
Kuko poa kapambane na wapimbwe ila kua makini na kutongoza wanawake unaweza ukapewa limbwata ukasahau kwenu
 
Hii nchi mikoa mingi haitofautiani sana..wewe nenda kapige kazi pakikushinda fanya namna uhamie unako taka ufanyie kazi ili uwe na amani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nipo katavi tokea February Ni mji mzuri. Inategemeana unapendelea Nini saivi asali20 lt Ni 80, matunda Ni ya kizungu,Kuna uwanja wa fisi,rock beach, Serengeti, mtaa wa Simba n.k
 
Wengine wanaiwaza hiyo nafasi kwa hamu zote bila kujali mazingira, wewe ndio unahofu ya mazingira.
 
Back
Top Bottom