Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

sasa hapa ngoja nikae chini nijumlishe na kutoa .nigawanye nizidishe .hili zali sio la nchi hii yaani.
Wewe nenda taratibu ,,,,HUYU ndo yule husna the boss lady ......atakukata manyonyo hayo apeleke kuzimu ..


HUYU haeleweki ,,naomba ukitulize baby.
 
Haya ndiyo madhara ya kukaa muda mrefu bila ajira, ila kulingana na halmashauri ya kichwa chako your OK.
 
Husna the boss lad sasa hivi unatumia ID gani?
 
acha ulimbukeni ww ,inaelekea muhaya ww,unatangaza mishahara yko humu ni mahala sahihii
 


Oa kwa nafasi, na utulivu, uwezo wa kuoa usikupe excitement ya kuoa ukakurupuka ukaaribu, na unapooa hutakiwi kusema una kipato gani kwa hatua za awali, leo ni nini? uwavutie au uonekane au nini, Kwenye issue ya kutafuta mke awali ya mwanzo kama upo serious, maswala ya hela na kipato sio ya kusema kabisa! Labda kama unatafuta kitu kingine na sio pesa!
 
Ushauri wako wa kipumbavu kabisaaa,hao walimu wanaolipwa 500000 mbona wanaoa na wanaishi tu na wenza wao,kwanza ashakwambia ana dili zake zingine zinamuingizia hela zaidi ya hiyo 1.2 eti asioe kisa hela haitosh,we hufai kuwa mshauri hata wa watoto zako
 
Tangazo la biashara hilo
 
Huna lolote zaidi ya kutaka kuwabadilisha kama nguo, otherwise bado una utoto kichwani regardless umri wako
 
Erick_Otieno, i hope hii itakuwa kazi ya kwanza fresh from school! net pay ya 1.2mil!? mshahara wangu wa mwaka 2003! shame on u! how if u can get 8.5mil per month as a net pay! hahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…