Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Hahahhaaa, Msamehe bure ndoo asiri ya Nshomiree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sio mjinga.. mtoa mada ame edit.. wakati mimi na mjibu aliandika gross... ndio maana unaona ni wa mwanzo kumjibu..

muulize mara ya kwanza alisema gross au net?


 


Kulikuwa kuna haja gani ya kusema mshahara wa 1.2m? and una deal ya kukuingizia mara 2 au 3 zaidi, halafu wataka mtu mwanza from scratch? inabidi ukapimwe kichwa kama upo saw
 
Namuunga mkono kwa kulipa kodi na makato yote kisheria na kumpongeza kwa hatua kadhaa anazothubutu kuzichukua dhidi ya wahujumu uchumi.
Kulipa kodi ni wajibu wa kila mtanzania haiuhusiani naa kumuunga mtu mkono. Kuhusu wahujumu uchumi unampongeza kimoyomoyo au unaandamana "ukipendekeza" awe wa kudumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hutafuti mke ila umekuja kutangaza kwamba umepata kazi na mshahara huo,na mbaya zaid ni kwamba mwenye nacho siku zote hasemi,we mgen na hela bro,1.2 unakuja kabsa jukwaan kupiga tantalila?watu wanaipata hyo hela kwa siku moja tu na hawasem,mke utakaempata atakusumbua sana na utajuta,utaona hela yako haina maana ukikutana na mwanamke kisiran,
 
Hongera mkuu kwa taarifa! Tumejua take home yako 1.2.
 
Maisha mazuri anza kuyatafuta na mwenza wako cyo ,, na cyo upate maisha mazuri ndo utafute mke,,,, utajutaa,,, shida ndo kipimo halisi cha mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ,, sawa kaka,,, maisha furahaa na amani vi2 vingine majaaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…