Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Anaenda kuolewa na huyu bwana ajiandae kisaikolojia kabisaaa mtu wa hvi ana shida sana.
Yaani mtu unatoka tu huko unaanza kutangazia watu eti ooh sijui nalipwa 1.2 mara sijui deal nyingne napata zaid ya hyo sijui nataka nijenge mara nna pikipk ...ooh mara kilipanda kikashuka kikakaa pale sijui ikawaje hakuna mume hapa ...
Sijui kama atapata mke ila wezi atawapata
[HASHTAG]#mtoa[/HASHTAG] mada una asili ya majivuno badilika mwanaume hatakiwi kua hivyo *#

Sent using Jamii Forums mobile app

mie sababu moja kuu iliyofanya nimkubali MR AIR hakuwah kujitapa jaman ht sk 1!tena wakat huo nakumbuka kuna ngoma km 4 zilikua zinadai zinanipenda mashauzi mengiiiiiiiiiiiii!blah blah kibao! na yy nikamwambia nimekuchagua kwasababu huna mashauzi mix!jaman mwanaume mwenye mashauzi anakera! yaan sijui km nimewa date na mwanamum mwenye mashauzi!maana najua sana kuenjoy mtu mm lol!sasa hapa kuja kujitangaza huku kote ili iwaj
 
Bro wenye pesa huwa hawajitangazi afu 1.2m kwa hapa mjini ni pesa ndogo sana kwa wenye experience tunakushauri tulia weka mambo sawa kwa miezi angalau hata 6 then urudi tena.......hiyo 1.2m sio yako peke ako kumbuka kuna wazazi waliokufanya ufike hapo nao watahitaji....tulia fanya mishe kimya kimya hayo mabango kwa mimi msomi mwenzio nakupunguzia credit juu ya elimu uliyonayo

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
mie sababu moja kuu iliyofanya nimkubali MR AIR hakuwah kujitapa jaman ht sk 1!tena wakat huo nakumbuka kuna ngoma km 4 zilikua zinadai zinanipenda mashauzi mengiiiiiiiiiiiii!blah blah kibao! na yy nikamwambia nimekuchagua kwasababu huna mashauzi mix!jaman mwanaume mwenye mashauzi anakera! yaan sijui km nimewa date na mwanamum mwenye mashauzi!maana najua sana kuenjoy mtu mm lol!sasa hapa kuja kujitangaza huku kote ili iwaj
Hapo chacha shangaa wewe

bado mvulana huyu!!
 
Hapo chacha shangaa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

pyee!sasa ampate mwanamke akifika HOTELIN ANAANZA KUULIZA UNA VYUMBA VYA SH NGAPI! TUPE BEI ELEKEZI ZA VYAKULA VYA HAPA AHAHAHAH! mwanaume kamili haulizi yy analipa tu! mie uulize oh mbn soda kwetu 500 wewe unauza 700 !Kwakweli nanyanyuka!

punguza mashauzi upate mke mwema shauriro! wenzio hatukuvutika na pesa wala nn!
 
Siku izi kutafuta mchumba au Mke Hakuna tofauti kutangaza biashara yaani lazima ujinadi kweli Kwel

Mtoa post kuwa makini sana usije baki na pumbu tu mtaani maana Dada zetu wako vzur kwenye fursa hiyo
 
joseverest nimekulindia nafasi yako, uje ili tumshauri pamoja

dogo hiyo hela ndogo sana na sana..

gross ya 1.2m net yake ni kama laki 8 na nusu hivi..

tena hapo bodi ya mikopo kama hawakudai.

haya sas tuchekeche laki 8 hiyo ulipe kodi, nauli, msosi, umeme, maji etc..

hiyo hela hapo ni kama unaingiza elfu 27 kwa siku
ambapo hata muuza chips au muosha magari na kindoo tu anakuzidi..

nakushauri swala la kuoa au kuishi na mwanamke weka pembeni kabisa.. fanya saving kisha invest na kuinvest na kuinvest tena.. after 5 yrs ndio usake kimwana..

kipindi hiki tafuta girlfriend tu uwe mnakutana weekend..
Mkuu, amesema hiyo 1.2 m ndio take home na sio Laki nane

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
joseverest nimekulindia nafasi yako, uje ili tumshauri pamoja

dogo hiyo hela ndogo sana na sana..

gross ya 1.2m net yake ni kama laki 8 na nusu hivi..

tena hapo bodi ya mikopo kama hawakudai.

haya sas tuchekeche laki 8 hiyo ulipe kodi, nauli, msosi, umeme, maji etc..

hiyo hela hapo ni kama unaingiza elfu 27 kwa siku
ambapo hata muuza chips au muosha magari na kindoo tu anakuzidi..

nakushauri swala la kuoa au kuishi na mwanamke weka pembeni kabisa.. fanya saving kisha invest na kuinvest na kuinvest tena.. after 5 yrs ndio usake kimwana..

kipindi hiki tafuta girlfriend tu uwe mnakutana weekend..
Umeambiwa hiyo ni Net yaani Take home Someni vizuri maneno kabla ya kuandika
 
Vigezo ulivyoweka Mungu hajaumba mwanamke wa aina hio.
 
Back
Top Bottom