middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,308
- 1,690
Khaaaaa jaman muoneee huruma mwenzioUmeshanunua Nyumba na gari?
Je unandugu wangapi wanakutegemea ?
Upo tayari kunipa laki tano we ubaki na laki saba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa jaman muoneee huruma mwenzioUmeshanunua Nyumba na gari?
Je unandugu wangapi wanakutegemea ?
Upo tayari kunipa laki tano we ubaki na laki saba?
Kujipeleka ndoa ni si jambo la mchezo mchezoKhaaaaa jaman muoneee huruma mwenzio
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] godolo ulalomimi godoro nilalo
Ushauri mzuri pia mkuuHuwezi jua atafanikiwa wapi. ..ni vizuri ukawekeza kotekote. ..biashara zikigoma. ..unaweza kupata kazi nzuri zaidi yenye kipato bora zaidi na kwa urahisi zaidi.
Hata kwenye hizo biashara elimu yake inaweza kumsaidia.
Uko vizuri mkuuKwa mpango huo nikuja kujioolesha mwezi ujao nunua jiko nzuri lenye oven. Nunua fridge kubwa milango miwili.. nunua friza la kilo 100... halafu jiko la kuchoma nyama me ninalo naweza kukuzia nikalikuta.... ..
... halafu me napenda kunywa nitakufundisha
Anaejali vtu ndio anaona anadharaulika,ila anaejali utu hawez dharau,na yule anaedharau yy ndio anatatizo kulko yule anaedharauliwa,watu wanajali hali zaid kulko kitu,pesa haileti ndoa imara,pesa haileti furaha ktk ndoa yenye msuguano,pesa inakupa ving ambavyo inauwezo wa kununua ila haikupi haki ya kua bora kwenye ndoa. Km unadhan ukikosa pesa bas na ndoa yako imekufa aisee utakua na tatizo kubwa na deni kubwa moyoni na ukishindwa kililipa hakika furaha hutaiona,utaona huna thamani ya kuishi. Jenga fikra zako ziwe positiv kuhusu hali za watu kulko helaMkuu pesa ina mata sana kwenye suala la kuoa nowdays ....tunaona uku mitaani wanaume wanavyodharaulika ....wake zao wanawanyanyasa sana kisa uchumi poor ....
Namuunga mkono kwa kulipa kodi na makato yote kisheria na kumpongeza kwa hatua kadhaa anazothubutu kuzichukua dhidi ya wahujumu uchumi.Alex Yesaya nikuulize kaswali kadogo, wewe unaungaje mkono "juhudi" za magufuli. Nataka nifanye application.
Sent using Jamii Forums mobile app
unadamu ya kihaya?Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.
mazingira kasema anapenda kula vizuri mi kupika vitu vizuri ndiyo mwenyeweUko vizuri mkuu
No comment.unadamu ya kihaya?
Mkuu nukuu zote unazo ninukuu ni majibu kwa maswali ya moja kwa moja kabisa kwa members walioniuliza, nakushangaa unavyoninyooshea kidole bila kusoma comments na maswali ya watu tangu page ya kwanza. Lengo ni nini?Anaenda kuolewa na huyu bwana ajiandae kisaikolojia kabisaaa mtu wa hvi ana shida sana.
Yaani mtu unatoka tu huko unaanza kutangazia watu eti ooh sijui nalipwa 1.2 mara sijui deal nyingne napata zaid ya hyo sijui nataka nijenge mara nna pikipk ...ooh mara kilipanda kikashuka kikakaa pale sijui ikawaje hakuna mume hapa ...
Sijui kama atapata mke ila wezi atawapata
[HASHTAG]#mtoa[/HASHTAG] mada una asili ya majivuno badilika mwanaume hatakiwi kua hivyo *#
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera.wengine tuna take home ya 8mil. na tupo kimya
ni wachache watakuelewa!Mume wa sampuli yako sitaki hata kumsikia japo nna shida ya mume mfyuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafakari wewe mwenyew tokea mwanzoni tu ktk bandiko lako umejikoroga .....sasa badilika haukua na sababu ya kutangaza hayo yote hapa mngemalizana wenyewe na huyo ambae ungempata mkiwa wawili sio unatutangazia hapaMkuu nukuu zote unazo ninukuu ni majibu kwa maswali ya moja kwa moja kabisa kwa members walioniuliza, nakushangaa unavyoninyooshea kidole bila kusoma comments na maswali ya watu tangu page ya kwanza. Lengo ni nini?
Hahahahahahaha Miss, natafuta huyo mkristu atataka papuchi day one mnapokutana ohoooooo! we si mzee wa miezi sita bila kuguswa chini? Sijui kama mtakaa meza moja mama.sasa hapa ngoja nikae chini nijumlishe na kutoa .nigawanye nizidishe .hili zali sio la nchi hii yaani.
mkuu unajeuri!!!joseverest nimekulindia nafasi yako, uje ili tumshauri pamoja
dogo hiyo hela ndogo sana na sana..
gross ya 1.2m net yake ni kama laki 8 na nusu hivi..
tena hapo bodi ya mikopo kama hawakudai.
haya sas tuchekeche laki 8 hiyo ulipe kodi, nauli, msosi, umeme, maji etc..
hiyo hela hapo ni kama unaingiza elfu 27 kwa siku
ambapo hata muuza chips au muosha magari na kindoo tu anakuzidi..
nakushauri swala la kuoa au kuishi na mwanamke weka pembeni kabisa.. fanya saving kisha invest na kuinvest na kuinvest tena.. after 5 yrs ndio usake kimwana..
kipindi hiki tafuta girlfriend tu uwe mnakutana weekend..
Chukua nondo hz...tatizo vijana wanakurupuka apo anaona hyo hela nyingiiiiijoseverest nimekulindia nafasi yako, uje ili tumshauri pamoja
dogo hiyo hela ndogo sana na sana..
gross ya 1.2m net yake ni kama laki 8 na nusu hivi..
tena hapo bodi ya mikopo kama hawakudai.
haya sas tuchekeche laki 8 hiyo ulipe kodi, nauli, msosi, umeme, maji etc..
hiyo hela hapo ni kama unaingiza elfu 27 kwa siku
ambapo hata muuza chips au muosha magari na kindoo tu anakuzidi..
nakushauri swala la kuoa au kuishi na mwanamke weka pembeni kabisa.. fanya saving kisha invest na kuinvest na kuinvest tena.. after 5 yrs ndio usake kimwana..
kipindi hiki tafuta girlfriend tu uwe mnakutana weekend..