Nimepata bila kuomba, Asante love connect, Asante JF

Nimepata bila kuomba, Asante love connect, Asante JF

At first tulikua marafiki....so sikuwahi kuomba hela ila nilikua namuomba ushauri sana.... Coz wote ni business minded na yeye kanitangulia vitu vingi.

Lakini kuanzia march 2017 alipotangaza nia na akatenda kweli...... Niseme tuu anayajua majukumu yake.....
All the best
 
Endelea kuvuta subira na kua na tumaini atakuja
Sielewi kwa kweli Dada yng mpendwa,
Kuhusu kipato,si kwamba nipo chini sana na wala sipo juu.Ndo kwanza najiweka vizuri ktk maisha.
Ndo maana naamini muda umefika ili twende sawa,na umri pia unakimbia.
 
a910ac63ec20927322f0d87f1604e03e.jpg
Ok ahsante!!
 
Hongera sana mzidi kuomba tu ili malengo yatimie na imani ipo kuwa yatatimia soon mtupe mapema tu rangi za suti.

Ushauri tu Mods wangeweka kipengele cha Marital status-single/married kiwe OPEN kabisa

What i believe mke/mume mwema anapatikana popote pale iwe shambani,barabarani,shuleni,vyuoni kotekote la msingi ni UPENDO TUU
 
Back
Top Bottom