Nimepata chuo ila mkopo nimekosa, course ni Bsc Education

Nimepata chuo ila mkopo nimekosa, course ni Bsc Education

Ni ngumu sana kumuacomodate mtu kula pamja na ada hasa hapo kwenye msos,stationary na kwa wakat wa field.

jipange nenda kwa ndugu zako wakchangie wakshndwa wakupe na ushaur nn cha kufanya then mwakan jitahdi kuomb tena pamja na vyuo vya diplma il kuwka mitego pand mbil coz huwz jua kama utapewa au utanyimwa mkopo.
 
Mimi napata maumivu moyoni ninaposikia watu wamekosa mikopo hivi watu watasoma vipi bila mkopo.Nchi yetu inathamini vitu visivyo na faida sana mfano kwenye michezo wanajenga viwanja vya kisasa na kuleta makocha wa kigeni ila kwenye elimu wanaleta masihara mana wanabadilisha viwango vya ufaulu kila kukicha,walimu hawapewi haki zao na kibaya zaidi wanawanyima mikopo watoto wa maskini ila watoto wao wanasoma nje waswahili husema"mwenye shibe hamjui mwenye njaa"
 
nakopesha kwa rba kidogo km heslb wanavyofanyaa. km shda n mkopo siyo lazma ukakope kwa heslb peke yake coz kuna wa2 weng wanatoa mikopo cha msing uwe mwaminifu wa kurudisha ulchokopa. 2ko pamoja?
 
nakopesha kwa rba kidogo km heslb wanavyofanyaa. km shda n mkopo siyo lazma ukakope kwa heslb peke yake coz kuna wa2 weng wanatoa mikopo cha msing uwe mwaminifu wa kurudisha ulchokopa. 2ko pamoja?

Brother uko serious na unachokisema maana mm nahitaji mtu wa kunikopesha angalau for this first year even 1m,km vp ngoja niku-pm nione inakuwaje
 
kusoma bila mkopo inawezekana ila uvumiliwa iwe asilimia moja
 
kusoma bila mkopo inawezekana ila uvumiliwa iwe asilimia moja

Inategemea,vidole havifani mkuu.Wapo watu wanaishi kwa mlo mmoja.Akiugua panadol tu issue!Mtu kama huyo kumwambia hayo maneno ni kumdhihaki tu
 
Back
Top Bottom