Nimepata chuo na mkopo lakini nimenyimwa ruhusa kazini nifanyaje ?

Baki upige kazi wewe, hakuna anaetakiwa kuvunja utaratibu. Tunalaumu sana utendaji wa viongoz wetu wkt sisi wenyewe tunataka janjajanja..mbavu kbs
 
Ukifanya usajili mkopo wang naweza kuutumia mwakani?
 
Kimsingi inategemea na makubaliano ya mkataba wa ajira.. Kama mlikubaliana ufanye kazi miaka miwili ndo unaweza kusoma.. Bas mwajiri yuko sahh kukunyima.likizo

kama ulijiamini sana bas tangu mwanzo ungeomba likizo isiyo ya malipo


sasa shida ya wabongo ujuaji mwingi.... Kila kitu kinaenda kisheria na taratibu bhana

hyo jibebe

aidha mbembeleze mwajiri wako au acha kazi ukasome... Au ghairi kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…