lilly petet
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 144
- 22
Daaah nisivyoyapenda haya madude hata yasipokuja mwaka mzima najionea poa tu potelea mbali :A S-eek:
Inatokea wakati mwingine lakini bila shaka kuna hali umepitia, mfano: kubadili hali ya hewa, stress, ugonjwa nk.
Duh pole sana na hongera kwa kuziona.... wenzio huwa wanazitafuta wasizione kabisa na hivyo kuchukua hatua ya kuwajulisha wapenzi wao ambao mara nyingi huwatia moyo na kuwaomba waendelee kuzitafuta!
Sometimes ni mabadiliko ya hali ya hewa na baadhi ya vyakula pamoja na stress hubadilisha mzunguko. Pole sana.
Daaah nisivyoyapenda haya madude hata yasipokuja mwaka mzima najionea poa tu potelea mbali :A S-eek:
Kama memeee!!
Najioneaga tabu tu.
Kama hutumii njia yoyote ya kupanga uzazi ujue chochote chaweza kutokea.nenda kwa daktari.yaeezekana umeanza mchakato wa kuwa mama.
Yanakera sana lakini ni muhimu kwetu..
umuhimu upo ndio lakini mmmhh hatare
Acheni upuuzi mwanamke ambae hazioni siku zake hayo ni matatizo makubwa lakini pia inategemea na mzunguko wako ni wa siku ngapi 28 21au 15 ambao ndio mzunguko mdogo sana jifunzeni kuesabu siku zenu lakini pia msisahau kwenda hospital sio hali ya kawaida mwanamke kutoona siku zake iwe kila mwezi au kuziona kwa siku moja waone madaktari hilo ni tatizo linaloweza kupelekea ugumba kwa mwanamke
Daaah nisivyoyapenda haya madude hata yasipokuja mwaka mzima najionea poa tu potelea mbali :A S-eek:
Yan ingekuwa inawezekana walah ningehamaHamia kwetu mamy.