lilly petet
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 144
- 22
Habari wana jukwaa,
Nimepata damu ya hedhi siku moja tu na kukata.
Je, kuna tatizo lolote kiafya? Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango.