queenblack94
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 453
- 28
Acheni upuuzi mwanamke ambae hazioni siku zake hayo ni matatizo makubwa lakini pia inategemea na mzunguko wako ni wa siku ngapi 28 21au 15 ambao ndio mzunguko mdogo sana jifunzeni kuesabu siku zenu lakini pia msisahau kwenda hospital sio hali ya kawaida mwanamke kutoona siku zake iwe kila mwezi au kuziona kwa siku moja waone madaktari hilo ni tatizo linaloweza kupelekea ugumba kwa mwanamke
Pedi pia zinachangia unapotumia pedi zisizo na anion lazima utakumbana na izo shidah mm pia nilikuwa na hedhi isiyona mpangilio mzuri but now nko vizur baada ya kutumia tiba za asili
Shukuru wenzio awapati Kabisa
Daaah nisivyoyapenda haya madude hata yasipokuja mwaka mzima najionea poa tu potelea mbali :A S-eek:
kwani zimetoka kwa siku nzima au ni vitone tu?kunaPedi zipi ni nzuri kutumia ?
kwani zimetoka kwa siku nzima au ni vitone tu?kuna
Pedi za aina nyingi
usifanye kazi za suluba
aua kuwa na mawazo hasa kipindi hiki cha UKAWA na CCM
utavurugikiwa
Yani hupendi nature!! We kweli ni khantwe!!
Tatizo ni hayo madawa yetu mnayotunia
Daaah nisivyoyapenda haya madude hata yasipokuja mwaka mzima najionea poa tu potelea mbali :A S-eek:
You can't avoid nature, u can just control it.
Zinafanya kazi dhidi ya MATATIZO yote ya kinamama wakat wa hedhi pia hazina muwasho kama izi pedi tulizozoea kutumia yan ukivaa unajiisi mwepes kama hujavaa kitu vile ni lain n bora kwa afya yako
Pedi natural sio kemikal