Nimepata damu ya hedhi siku moja na kukata

Nimepata damu ya hedhi siku moja na kukata

Acheni upuuzi mwanamke ambae hazioni siku zake hayo ni matatizo makubwa lakini pia inategemea na mzunguko wako ni wa siku ngapi 28 21au 15 ambao ndio mzunguko mdogo sana jifunzeni kuesabu siku zenu lakini pia msisahau kwenda hospital sio hali ya kawaida mwanamke kutoona siku zake iwe kila mwezi au kuziona kwa siku moja waone madaktari hilo ni tatizo linaloweza kupelekea ugumba kwa mwanamke

nani kafanya upuuzi sasa?
soma thread vizuri, hajasema haoni siku zake, ameona kwa siku moja then ikakata.
 
Pedi pia zinachangia unapotumia pedi zisizo na anion lazima utakumbana na izo shidah mm pia nilikuwa na hedhi isiyona mpangilio mzuri but now nko vizur baada ya kutumia tiba za asili

Pedi zipi ni nzuri kutumia ?
 
Pedi zipi ni nzuri kutumia ?
kwani zimetoka kwa siku nzima au ni vitone tu?kuna
Pedi za aina nyingi
usifanye kazi za suluba
aua kuwa na mawazo hasa kipindi hiki cha UKAWA na CCM
utavurugikiwa
 
kwani zimetoka kwa siku nzima au ni vitone tu?kuna
Pedi za aina nyingi
usifanye kazi za suluba
aua kuwa na mawazo hasa kipindi hiki cha UKAWA na CCM
utavurugikiwa

Dah! Haya ukwaju
 
Pedi kuna pedi zinaitwa neplily pedi pekee ZILIZOTENGENEZWA kwa mimea asilia zenye anion katikati iyo anion inafanya kazi dhid ya matatizo yote ya kinamama zipo pedi ZA aina tatu ZA mchana ZA usiku na za kuvaa siku zisozo za hedhi
 
Zinafanya kazi dhidi ya MATATIZO yote ya kinamama wakat wa hedhi pia hazina muwasho kama izi pedi tulizozoea kutumia yan ukivaa unajiisi mwepes kama hujavaa kitu vile ni lain n bora kwa afya yako
 
Zinafanya kazi dhidi ya MATATIZO yote ya kinamama wakat wa hedhi pia hazina muwasho kama izi pedi tulizozoea kutumia yan ukivaa unajiisi mwepes kama hujavaa kitu vile ni lain n bora kwa afya yako

Hizo pedi zinapatikana kwenye maduka haya ya kawaida ?
 
Sio tatizo huenda ulipata mshituko au kuna dawa ulitumia ukiwa kwenye hedhi
 
Hapana ukihitaji nitafute 0717556768 nikupe maelekezo wap zinapatkana ila dukani uwezi zipata
 
Back
Top Bottom